RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MCT wafunguka kuhusu zuio la mahakama dhidi ya sheria za habari


Mahakama Kuu Kanda ya Mtwara leo May 4 2018 imetoa zuio la muda dhidi ya matumizi ya Kanuni za Maudhui ya Kimtandao (Online Content Regulation) ambazo matumizi yake yalipaswa kuanza rasmi Mei 5, 2018. 

Kutokana na hilo Baraza la Vyombo vya Habari (MCT) pia limezungumzia zuio hilo la Mahakama.

Comments