RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

Rais Mstaafu Zuma kufunga ndo na Binti wa miaka 24



Taarifa ambazo zinashika headlines nchini Afrika Kusini katika mitandao ya kijamii ni kumhusu aliyekuwa Rais wa Taifa hilo Jacob Zuma, ameshangaza umma baada ya kuwepo na taarifa za kutarajia kuoa mke wa 5, mwenye umri wa miaka 24.

Binti huyo anayejulikana kwa jina la Nonkanyinso Conco, kupitia chombo cha habari cha Times live cha nchini Afrika Kusini amethibitisha taarifa hizo “Ndio tunaoana, hayo ndiyo naweza kusema kwa sasa, nahitaji kutoa taarifa kabla sijafanya interview yoyote”,

Taarifa zingine zinasema binti huyo tayari ana mtoto mchanga aliyezaa na Jacob Zuma ambaye amezaliwa siku ya birthday ya Zuma, April 12, na tayari mahali imeshatolewa

Comments