RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

ZIARA YA NABII NA MTUME JOSEPHATE MWINGIRA NCHINI PAKISTAN


Daniel 11:32b "lakini watu wamjuao MUNGU wao watakuwa Hodari, na kutenda Mambo makuu."
PICHANI: Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira Alipowasili nchini PAKISTANI


Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira na Mama Eliakunda Mwingira wakipokelewa Uwanja wa Ndege Nchini Pakistani baada ya Kuwasili.









Comments