RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

USIPANGE KUKOSA IBADA YA UKOMBOZI WA MIKO YAKO JUMATANO HII MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

Mch. Noah Lukumay wa kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" anakualiaka katika Ibada Ya Jumatano Hii Ya UKOMBOZI WA MIKONO YAKO (Isaya 35:3)
Ibada itaanza saa 9 alasiri hadi saa 1 usiku katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B".
Usipange kukosa ibada ya kumombolewa mikono yako iliyofungwa usifanikiwe katika kazi ya mikono yako.

Mch. Noah Lukumay

Comments