RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

TUJIKUMBUSHE: MAANDALIZI YA MARRIAGE REVIVAL DINNER PARTY 2017..USIKOSE YA MWAKA HUU 2018

Mwaka huu 2018 Marriage Revival Dinner Party itafanyika siku ya Ijumaa 02.03.2018 katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" kuanzia saa 12 jioni hadi usiku. Kiingilio kwa Single ni 10,000/= na Double ni 20,000/=. Wahubiri ni Mhe. Bishop Dr. Gertrude Rwakatare, Mch. Noah Lukumay, Mch. paul Kuria kutoka Kenya na Mwalimu wa maswala ya ndoa ni Mwl. Joshua Mutashi kutoka Mwanza.

Comments