RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MARRIAGE REVIVAL DINNER PARTY 2018 KIMBILIO LETU WANANDOA NA WANAOTEGEMEA KUWA WANANDOA..USIKOSE MACHI 02.2018

Mhe. Bishop Dr. Gertrude Rwakatare



Karibu Katika "Party" Ya Wanandoa na Wanaotegemea Kuwa Wanandoa Ya MARRIAGE REVIVAL DINNER PARTY. Itafanyima MACHI.02.2018 Katika Kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" kuanzia saa 12 jioni hadi usiku.

KIINGILIO: Single 10,000/= | Double: 20,000/=
WAHUBIRI NA WALIMU:
1. Mhe. Bishop Dr. Gertrude Rwakatare.
2. Mch. Noah Lukumay.
3. Mwalimu Joshua Mutashi (Mwanza)
4. Mch. Paul Kuria (Nairobi, Kenya)

KUTAKUWA NA:
1. Mafundisho ya Ndoa
2. Neno la Mungu.
3. Maombi.
4. Burudani
5. Chakula na Vinywaji.

KADI ZA MWALIKO ZINAPATIKANA:
1. Kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B".
2. Kanisa la Mlima wa Moto Bunju.
3. Kanisa la Mlima wa Moto Boko.
4. Kituo cha Mafuta Cha Victoria.

Mungu akusaidie ili usikose siku hii maalum ambayo hutokea mara moja tu kwa mwaka.
Mch. Noah Lukumay

Comments