RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

THE DRIVE SEASON 5 WORSHIP NIGHT PALE TAG CITY



Muimbaji wa Gospel ,mchekesahaji na Mchungaji kutoka Tanzania Emmanuel mugaya almaarufu kama masanja (street pastor)anawakaribisha wakazi wote wa Dar es salam kesho tarehe 24 katika mkesha mkubwa pale TAG CITY HARVEST Bahari beach kuanzia saa tatu usiku mpaka sakumi na moja alfajiri kumbuka tu kuwa hakuna kingilio.

Comments