Usimuogope Goliath anae simama mbele yako,haidjalishi ana silaha gani haidjalishi ana umbo gani,silaha yako nikumvaa christ ,ni mda wako kusimama nakuuona wokovu ambao Bwana anaenda kukufanyia maana hao watesi wako unao waona leo hauta waona tena BWANA ATAKUPIGANIA NAWE UTANYAMANZA KIMYA.
Comments