Mtoto Lulu ambaye kwa sasa ameshaanza kutumikia adhabu yake ya kifungo cha miaka miwili Jela kwa kosa la kuua bila kukusudia.
Lulu kwa mujibu wa repota ametoa ujumbe wa kuhuzunisha na wa kujipa matumaini kuwa, mengi amevumilia na hili pia anamtegemea Mungu atamfikisha salama safari yake.
Comments