RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

CHRISTMAS TOUR NA DONMOEN!!!(PICHA)






Muimbaji wa Gospel ambae pia ni producer ,mtunzi wa nyimbo pastor mkurugenzi wa label ya christian warship music anatarajia kuwa na tour december mwaka huu kwa jili ya christmas ambayo itaanzia canada tarehe 10-16 december amepost picha kwenye ukurasa wake wa instagram inayoonesha akiwa kwenye mazozi ya maandalizi yeye pamoja na timu yake ya christmas tour.tazama picha hapo chini ambayo ameiposti nakuweka caption inayosema hivi( Rehearsing for upcoming christmas tour canada december 1o_16)



SOURCE: JET TV Site


Comments