RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

CAMPUS NIGHT 2017 NDANI YA MWANZA !!!





Tarehe nane December mwaka huu Tamasha la Campus night litakuwa ndani ya mwanza mahali ni Nyamagana ground (SAUT MALIMBE) na wakati huu ndani ya jiji la mwanza kauli mbiu ni IDENTIFY YOUR VALUE mambo mbalimbali yatafanyika kama vile neno la Mungu ,kusifu na kuabudu, comedy pia kutoka kwake Frank mathew ,watumishi wa Mungu kama Pastor Zakayo Nzogere ,Pastor Emmanuel Mgaya Masanja(Mtreet Mastor) na waimbaji mbalimbali watakuwepo.

Comments