RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BIG UP JBLESSING KWAKUWA PRODUCER BORA WA MWAKA 2017



Jibril blessing almaarufu kama Jblessing ambae ni Tv producer,music video director kutoka nchini kenya amekuwa mshindi katika category ya Entertainment na ndiye producer bora wa mwaka katika tuzo zinazoandaliwa na mashuja awards kama producer bora wa mwaka huu 2017 nchini,


SOURCE: JET TV



Comments