RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

FAHAMU JUU YA MTANDAO WA WASANII WA INJILI TANZANIA (TAGOANE)

TAGOANE Ni Mtandao wa Wasanii wa Injili Tanzania Kwa kiingereza Tanzania Gospel Artists Network – kwa kifupi itatambuliwa kama TAGOANE ni chombo kinacholenga kuwaleta wasanii wote wanaojishughulisha uzalishaji wa kazi za sanaa kwa mlengo kutoa huduma kwa wadau wote wa tasnia nzima ya injili.taasisi hii imesajiliwa kwa mujibu wa kanuni na sheria za jamuhuri ya muungano wa tanzania chini ya kifungu cha sheria na 23 ya 1985 a kupewa ithibati ya kuendesha shughuli zake chini ya baraza la Sanaa taifa (BASATA) kwa kutunikiwa cheti chenye namba ya usajili BST/00020

UWEZO NA SIFA ZA WANACHAMA Waimbaji, wachoraji, watunzi wa tungo/mashairi, wazalishaji, wazambazaji, wapigaji wa Ala za Muziki/Vyombo, Wataalamu wa picha (Videos) na wabunifu wa michoro (Graphics) na kadhalika kwa kadri itakavyoonekana inafaa kulingana na thimu ya Mtandao huu wa Waimbaji. Waandaaji/watangazaji wa vipindi vya radio na runinga,kwaya, wachezaji (Dancers),waigizaji wa filamu au tamthilia za miziki/nyimbo ama/au zenye maudhui ya kiroho.... Jinsi Ya Kuijiunga Naomba Fuata Link Hii ya www.tagoane.com Au Piga Simu No.
0713019455

Comments