RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

08,10.2017: WAUMINI WA KANISANI LA MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" WAPATWA NA HUZUNI KWA KIFO CHA MTUME JOSEPH OLANGI OSHWO (PAPA OLANGI)

Siku ya Jumapili 08.10.2017 Mh. Bishop Dr. Gertrude Rwakatare na waumini wa kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" walifanya maombi maalum kwaajili ya familia ya marehemu Mtume Joseph Olangi Oshwo (Papa Olangi) pamoja na kuchukua dakika kadhaa za kumkumbuka. Baada ya hapo waliweza kupiga nyimbo zake alizoziimba kama kumkumbuka na kumshukuru Mungu kwa yote yalitokea.

Ilikuwa ni wakati wa huzuni sana kwa kanisa kutokana na jinsi Mtume papa Olangi alivyokuwa na ushirikiano mkubwa na kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" kwa kipindi kirefu. Watu wengi sana walitokwa na machozi huku wakiwa na huzuni kubwa.


R.I.P Papa Olangi










Comments