RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

KABLA HUJAKATA TAMAA JIULIZE MASWALI HAYA



KILA mtu ana kiwango chake cha kukata tamaa. Kuna wakati unapanga mipango yako lakini inashindikana. Unajisikia vibaya pale unapoona kila unachofanya hakiwezekani. Ni kweli inaumiza hasa pale unapofanya jambo kwa akili na nguvu zako zote kisha linashindikana na hakuna chochote kinachorudi kama matokeo ya juhudi hizo. Hata hivyo, kabla hujakata tamaa jiulize maswali haya:
Ni jambo gani baya litatokea endapo hautafikia malengo yako?

Unaogopa kupoteza muda? Watu watakusema? Au unaogopa kushindwa? Uhalisia ni kwamba, wakati mwingine huwa tunafikiria watu wanajadili na kukosoa malengo yetu lakini kumbe watu hao wala hawajishughulishi na chochote unachofanya. Waswahili walisema: Mchawi wa maisha yako ni wewe mwenyewe. Watu unaohisi watakucheka ukishindwa, hawajui lolote kuhusu mikakati yako. Ni hofu yako tu. Endelea kupiga hatua, kwani usipofanya hivyo utashindwa kutambua unatakiwa kwenda umbali gani… SOMA ZAIDI

Comments